
MT.MERU HOTEL
Discover the place where the heavens meet the earth, where the rhythm of nature pounds to the beat of an African drum, and where life is all about a revival of the senses. Situated at the foothills of Mount Meru in the city of Arusha, Tanzania, the Mount Meru Hotel lies on 9 acres of lush landscape, surrounded by some of Africa’s most breath-taking vistas, rich with a diverse array of wildlife, etched against the fertile slopes of this beautiful mountain. Give your imagination wings as you sit at the mountain’s feet, and listen as it reveals stories it has kept hidden for centuries.
NGURDOTO MOUNTAIN LODGE
Nestled between Mt Meru and Mt Kilimanjaro, Ngurdoto Mountain Lodge is located within a lush coffee plantation, 140 acres, with natural streams flowing through the property, from Mt Meru. The lush vegetation and the magnificent views of the snow capped Mt Kilimanjaro and the looming Mt Meru, right in front of the lodge, is an absolutely awesome sight. This lodge is ideally located between Arusha town and Kilimanjaro International Airport, 27 km either way.
NAURA SPRINGS HOTEL
Every member in our team is dedicated to ensuring a most memorable stay for each of our guests. From the moment you arrive to the time of your departure, you'll enjoy our attention to detail and commitment to providing exceptional service.
SHABIBY LINE
SAFIRI NASI SHABIBY LINE KWA USAFIRI BORA NA WA UHAKIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA.
SUPER SAMI
IJUE NCHI YA TANZANIA KWA KUSAFIRI NA USAFIRI BORA NDANI YA NCHI YA TANZANIA. HUDUMA BORA KWANZIA MWANZO MPAKA MWISHO WA SAFARI.. KARIBU SUPER SAMI BUS
HATIMAYE BENKI YA MBEGU ZA KIUME KUANZISHWA

HUYU DEMU NDIYE ANAYEMPAGAWISHA SUPER STAR ERICK OMONDI.. SHUHUDIA PICHA ZAKE KALI HAPAA

KWA JINA HUITWA AMINA MBARU NI VIDEO QUEEN WA KENYA.. VIDEO YA SAUT SOL NISHIKE YUMO NDANI NA PIA VIDEO YA KIPEPEO YA JAGUAR





WANAFUNZI APIGA PICHA ZA KUTEGA.. TUTAFIKA KWELII..SHUHUDIA PICHA ZOTE HAPA...

SI WANAFUNZI WA SECONDARY WALA CHUO KIKUU.. WOTE WAMEKUWA NA TABIA YA KUJIPIG APICHA NA KIJIWEKA HADHARANI.. HUYU NI MWANAFUNZI TAASISI YA ELIMU FULANI HAPA MJINI ************ KAACHA KUSOMA NA KUPIGA PICHA HII

MTIFUANO MZITO SHILOLE NA BABY MADAHA..
vijembe.
COLLAGE GIRLS AGAIN..SHOW THEIR BOOBS IN PUBLIC
Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.
HIKI NDICHO ALICHOKISEMA AUNT EZEKIEL KUHUSU FILAMU

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.
“Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake, huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa kiasi kikubwa nategemea sapoti ya wadau wangu, si mauzo ya filamu,” alisema. Aunt alisema tatizo jingine katika soko la filamu nchini, ni wasanii kutopendana hali ambayo inashusha tasnia kila kukicha. Kwamba
wangekuwa na mshikamano, wangeweza kufanya kitu cha kuwasaidia katika kuiboresha.
“Umoja ndiyo kila kitu hata kama tutakuwa hatuna hela, lakini tukikaa watu wengi kujadili kitu fulani, tutajua tufanye nini, hata kimawazo tu tutaendelea,” alisema.
SHISHI BABY IN NEW LOOKING...
Kwenye picha hizi ndio utagundua kuwa SHISH BEIBY ni mkali sana unaweza sema ni J LO sababu yupo HOT ile mbaya utazani mwanafunzi wa mwaka wapili chuo kikuu..hehehehee
MAPENZI HAYA JAMANI..NI SHIDAAA AISEEE...LULU ADATA UKUMBINI MBELE YA WAMAREKANI...KISA?! SHUKA NAYO ZAIDI HAPA...!
Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani lina cha kushika mkononi.
Lulu ambaye kwa miaka mingi amekuwa akiweka wazi mapenzi yake kwa Bieber alifika ndani ya ukumbi huo na kumwambia staa mwenzake wa sinema, Zuweza Mohamed ‘Shilole’ kwamba lengo la kufika kwake ni kuwaomba wasanii hao namba za simu za Bieber.
ILIKUWAJE?
Semina hiyo ilikuwa na lengo la kutoa mbinu za namna ya kukuza na kupanua soko la muziki na sanaa zote Tanzania.
Semina ilianza saa 3:00 asubuhi na wasanii wa Bongo waliitikia wito kwa kufika mapema, lakini Lulu alizama ukumbini hapo saa 8:12 mchana.
Lulu alishuhudiwa akiwasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe nyingi huku akimwambia Shilole kwamba ametia timu kwa lengo la kuchukua namba za simu za mpenzi wake wa moyoni, Bieber kwa vile alijua miongoni mwa Wamarekani hao lazima mmoja atakuwa na mawasiliano ya msanii huyo.
HATUA KWA HATUA NA AMANI
Mwanahabari wetu, baada ya kuyanasa mazungumzo ya Lulu kwa Shilole, alianza kumfuatilia staa huyo hatua kwa hatua kama kweli atamvaa mmoja wa wasanii hao na kumuomba namba za simu za Bieber!
Lulu alikwenda kukaa kwenye kiti mbele kidogo huku wasanii wengine wa Bongo wakiwa kwa nyuma yake na akaanza kufuatilia semina hiyo ilivyokuwa ikiendeshwa kwa usahihi.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mtoa semina mmoja alilitaja jina la Bieber katika mfano wa maelezo ya kuzingatia, ndipo Lulu akashtuka na kujishika sehemu ya kushoto kifuani kisha akamwelekea meneja wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ’Diamond’, Babu Tale ambaye alikuwa karibu yake na kumwambia maneno haya: “Naona sasa hawa Wamarekani wanaanza kugusa ninapopataka mimi.”
BAADA YA SEMINA
Baada ya semina kumalizika, baadhi ya wasanii wa Bongo walipiga picha za pozi na Wamarekani hao huku Lulu akienda chemba kuzungumza na Diamond, jambo lililotafsirika kuwa huenda alitaka msanii huyo amfanyie wepesi wa kukutana na Wamarekani hao kwa vile yeye alikuwa huko hivi karibuni akiwania Tuzo za BET.
Mpaka mwisho, Lulu aliondoka kimyakimya tofauti na alivyowasili huku paparazi wetu akiendelea kumfuatilia.
AMANI LAMVUTIA WAYA
Baadaye mwandishi wetu alimpigia simu ya mkononi staa huyo na kumuulizia kama alikipata alichokuwa amekikamia ndani ya ukumbi huo.Paparazi: “Lulu nilikusikia pale ukumbini ukimwambia Shilole kuwa lengo lako kubwa la kwenda ni kuipata namba ya simu ya Justin Bieber, vipi uliipata?”
Lulu: “Of course ni kweli nimekuwa nikimpenda Bieber tangu alipoibuka na Wabongo wanajua hilo, maana nimekuwa nikimsifia na kumzungumzia, ila pale ukumbini nilipongia Shilole ndiye alianza kwa kuniambia nimekwenda kuchukua namba ya Bieber.
Paparazi: “Je, ulipokwenda kuongea na Diamond nini ilikuwa hoja yako kwake, akuunganishe nao?”
Lulu: “Mambo mengine bwana. Kuna wakati Shaka Zulu (mmoja wa wagane hao) naye alimzungumzia Justin Bieber na baada ya kutaja jina tu nilishtuka sana, nilitaka nione akina Diamond watasemaje?”
KUMBUKUMBU ZA LULU
Mwaka 2011 baadhi ya magazeti pendwa ya Bongo sanjari na mitandao ya kijamii yaliripoti jinsi Lulu alivyopagawa na mwanamuziki huyo kiasi cha kushindwa kuvumilia na kujianika kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Lulu alikwenda mbele zaidi kwa kudai kuwa, kwa jinsi anavyompenda staa huyo alikuwa tayari kumpa chochote kile (hakufafanua). Alikuwa ‘akitwiti’ kwa Kiswahili wakati mwingine akitumia ‘yai’ (Kingereza).
Katika maelezo yake Lulu alikaririwa akisema kuwa endapo staa huyo atatua Bongo, atatembea utupu kutoka nyumbani hadi sehemu ambayo Bieber atakuwa anapafomu.
Bieber mwenyewe anadaiwa kuwa na mashabiki zaidi ya 47,180,630 wanaomfuatilia kwenye Twitter hivyo huenda ilikuwa vigumu kumsoma Lulu.
KAMA VILE HAITOSHI
Hivi karibuni ambapo hata mwezi mmoja haujapita wakati Diamond akiwa nchini Marekani kwenye Tuzo za BET, Lulu alimtupia kwenye Instagram maneno haya: “Hongera kwa levo uliyofikia. Huko ulinionea Justin Bieber wangu?”
NADRA SANA, KWA LULU VIPI?
Ni nadra katika jamii ya Kiafrika mwanamke kuanika hisia za mapenzi yake kwa mwanaume asiyekuwa na habari naye huku jamii ikijua au kutambua hilo lakini Lulu amethubutu. Je, inakuwaje hapo?
UMEONA HII NI FASHION YA NGUO IMECHORWA KWENYE MWILI
DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN
DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN

STAA AUNT EZEKIELAKANUSHA MADAI KUWA NA MKOSI NA WANAUME
Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.
Baada ya maneno hayo kutufikia, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka:
>>Ijumaa Wikienda/gpl
















