MT.MERU HOTEL

Discover the place where the heavens meet the earth, where the rhythm of nature pounds to the beat of an African drum, and where life is all about a revival of the senses. Situated at the foothills of Mount Meru in the city of Arusha, Tanzania, the Mount Meru Hotel lies on 9 acres of lush landscape, surrounded by some of Africa’s most breath-taking vistas, rich with a diverse array of wildlife, etched against the fertile slopes of this beautiful mountain. Give your imagination wings as you sit at the mountain’s feet, and listen as it reveals stories it has kept hidden for centuries.

NGURDOTO MOUNTAIN LODGE

Nestled between Mt Meru and Mt Kilimanjaro, Ngurdoto Mountain Lodge is located within a lush coffee plantation, 140 acres, with natural streams flowing through the property, from Mt Meru. The lush vegetation and the magnificent views of the snow capped Mt Kilimanjaro and the looming Mt Meru, right in front of the lodge, is an absolutely awesome sight. This lodge is ideally located between Arusha town and Kilimanjaro International Airport, 27 km either way.

NAURA SPRINGS HOTEL

Every member in our team is dedicated to ensuring a most memorable stay for each of our guests. From the moment you arrive to the time of your departure, you'll enjoy our attention to detail and commitment to providing exceptional service.

SHABIBY LINE

SAFIRI NASI SHABIBY LINE KWA USAFIRI BORA NA WA UHAKIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA.

SUPER SAMI

IJUE NCHI YA TANZANIA KWA KUSAFIRI NA USAFIRI BORA NDANI YA NCHI YA TANZANIA. HUDUMA BORA KWANZIA MWANZO MPAKA MWISHO WA SAFARI.. KARIBU SUPER SAMI BUS


HUYU DEMU NDIYE ANAYEMPAGAWISHA SUPER STAR ERICK OMONDI.. SHUHUDIA PICHA ZAKE KALI HAPAA


KWA JINA HUITWA AMINA MBARU NI VIDEO QUEEN WA KENYA.. VIDEO YA SAUT SOL NISHIKE YUMO NDANI NA PIA VIDEO YA KIPEPEO YA JAGUAR

WANAFUNZI APIGA PICHA ZA KUTEGA.. TUTAFIKA KWELII..SHUHUDIA PICHA ZOTE HAPA...


SI  WANAFUNZI WA SECONDARY WALA CHUO KIKUU.. WOTE WAMEKUWA NA TABIA YA KUJIPIG APICHA NA KIJIWEKA HADHARANI.. HUYU NI MWANAFUNZI TAASISI YA ELIMU  FULANI HAPA MJINI ************ KAACHA KUSOMA NA KUPIGA PICHA HII


MTIFUANO MZITO SHILOLE NA BABY MADAHA..



MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana
vijembe.
Awali katika gazeti la Amani toleo la wiki iliyopita, Baby Madaha alinukuliwa akisema kuwa Mwezi wa Ramadhani unambana
kiuchumi, kwa vile kumbi nyingi za starehe zimefungwa, hivyo anakosa shoo.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, Shilole alisema anamshangaa Madaha kwa kukosa hofu ya Mungu, huku akimchana
kuwa, haweki akiba, anaishi maisha ya kutegemea shoo ndiyo maana anaulalamikia mwezi huu.

Madaha alivyoelezwa kuhusu maoni ya Shilole, alikuja juu na kutema cheche: “Shilole anatafuta kiki kupitia jina langu,
kwanza si hadhi yangu. Siwezi kujibishana na msanii anayetegemea shoo za kwenye vigodoro, akatafute pa kutokea.”

COLLAGE GIRLS AGAIN..SHOW THEIR BOOBS IN PUBLIC

 Afrika kama tunavyoifahamu, ilikuwa ni sehemu ya Mila na Tamaduni bora kabisa, sehemu ambayo heshima adabu vilikuwa ni msingi wa jamii yake, hasa kwenye jamii.


Ila kwa sasa, Waafrika wengi, hasa vijana wamezua mijadala mingi inayotokana na mienendo ya tabia zao zinazopelekea kuvunjika kwa Mila na Tamaduni bara hili.... Kitu kinachozua maswali juu ya nani wakulaumiwa kwa kuvunjika na kuharibika kwa Mila na Tamaduni za Afrika...?

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA AUNT EZEKIEL KUHUSU FILAMU



STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.
“Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake, huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa kiasi kikubwa nategemea sapoti ya wadau wangu, si mauzo ya filamu,” alisema. Aunt alisema tatizo jingine katika soko la filamu nchini, ni wasanii kutopendana hali ambayo inashusha tasnia kila kukicha. Kwamba
wangekuwa na mshikamano, wangeweza kufanya kitu cha kuwasaidia katika kuiboresha.
“Umoja ndiyo kila kitu hata kama tutakuwa hatuna hela, lakini tukikaa watu wengi kujadili kitu fulani, tutajua tufanye nini, hata kimawazo tu tutaendelea,” alisema.

SHISHI BABY IN NEW LOOKING...

Kwenye picha hizi ndio utagundua kuwa SHISH BEIBY ni mkali sana unaweza sema ni J LO sababu yupo HOT ile mbaya utazani mwanafunzi wa mwaka wapili chuo kikuu..hehehehee










MAPENZI HAYA JAMANI..NI SHIDAAA AISEEE...LULU ADATA UKUMBINI MBELE YA WAMAREKANI...KISA?! SHUKA NAYO ZAIDI HAPA...!

Mchecheto! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, hivi karibuni alijikuta akiendelea kuwehukia penzi la mwanamuziki Mkanada anayefanya shughuli zake nchini Marekani, Justin Drew Bieber (20), Amani  lina cha kushika mkononi.

Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’,
 Ishu hiyo ilitokea Julai 14, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa BoT uliopo maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam ambapo wasanii wa Marekani waliotinga Bongo kwa mwiliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’ walikuwa wakitoa semina kwa wasanii wa Bongo.

Lulu ambaye kwa miaka mingi amekuwa akiweka wazi mapenzi yake kwa Bieber alifika ndani ya ukumbi huo na kumwambia staa mwenzake wa sinema, Zuweza Mohamed ‘Shilole’ kwamba lengo la kufika kwake ni kuwaomba wasanii hao namba za simu za Bieber.

 ILIKUWAJE?
Semina hiyo ilikuwa na lengo la kutoa mbinu za namna ya kukuza na kupanua soko la muziki na sanaa zote Tanzania.

 Semina ilianza saa 3:00 asubuhi na wasanii wa Bongo waliitikia wito kwa kufika mapema, lakini Lulu alizama ukumbini hapo saa 8:12 mchana.
Justin Bieber
 AINGIA KWA MBWEMBWE
Lulu alishuhudiwa akiwasili ndani ya ukumbi huo kwa  mbwembwe nyingi huku akimwambia Shilole kwamba ametia timu kwa lengo la kuchukua namba za simu za mpenzi wake wa moyoni, Bieber kwa  vile alijua miongoni mwa Wamarekani hao lazima mmoja atakuwa na mawasiliano ya msanii huyo.

 HATUA KWA HATUA NA AMANI
Mwanahabari wetu, baada ya kuyanasa mazungumzo ya Lulu kwa Shilole, alianza kumfuatilia staa huyo hatua kwa hatua kama kweli atamvaa mmoja wa wasanii hao na kumuomba namba za simu za Bieber!

 Lulu alikwenda kukaa kwenye kiti mbele kidogo huku wasanii wengine wa Bongo wakiwa kwa nyuma yake na akaanza kufuatilia semina hiyo ilivyokuwa ikiendeshwa kwa usahihi.
Muigizaji na Mtangazaji wa kituo cha televisheni cha E! cha nchini Marekani, Terrence J akiongea mbele ya wasanii wa Bongo leo.
 JINA LA BIEBER LATAJWA, LULU ASHTUKA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mtoa semina mmoja alilitaja jina la Bieber katika mfano wa maelezo ya kuzingatia, ndipo Lulu akashtuka na kujishika sehemu ya kushoto kifuani kisha akamwelekea meneja wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ’Diamond’, Babu Tale ambaye alikuwa karibu yake na kumwambia maneno haya: “Naona sasa hawa Wamarekani wanaanza kugusa ninapopataka mimi.”

 BAADA YA SEMINA
Baada ya semina kumalizika, baadhi ya wasanii wa Bongo walipiga picha za pozi na Wamarekani hao huku Lulu akienda chemba kuzungumza na Diamond, jambo lililotafsirika kuwa huenda alitaka msanii huyo amfanyie wepesi wa kukutana na Wamarekani hao kwa vile yeye alikuwa huko hivi karibuni akiwania Tuzo za BET.

Terrence J na Shaka Zulu (kulia).
 LULU AONDOKA KIMYAKIMYA
Mpaka mwisho, Lulu aliondoka kimyakimya tofauti na alivyowasili huku paparazi wetu akiendelea kumfuatilia.

 AMANI LAMVUTIA WAYA
Baadaye mwandishi wetu alimpigia simu ya mkononi staa huyo na kumuulizia kama alikipata alichokuwa amekikamia ndani ya ukumbi huo.Paparazi: “Lulu nilikusikia pale ukumbini ukimwambia Shilole kuwa lengo lako kubwa la kwenda ni kuipata namba ya simu ya Justin  Bieber, vipi uliipata?”
Lulu: “Of course ni kweli nimekuwa nikimpenda Bieber tangu alipoibuka na Wabongo wanajua hilo, maana nimekuwa nikimsifia na kumzungumzia, ila pale ukumbini nilipongia Shilole ndiye alianza kwa kuniambia nimekwenda kuchukua namba ya Bieber.

Prodyuza David Banner akizungumza jambo na wasanii kwenye semina iliyofanyika leo.
 “Hata mimi nilimkubalia kuwa ninavizia watakapomaliza kutoa semina niipate namba ya Bieber lakini sikumaanisha sana jamani!”
 Paparazi: “Je, ulipokwenda kuongea na Diamond nini ilikuwa hoja yako kwake, akuunganishe nao?”
Lulu: “Mambo mengine bwana. Kuna wakati Shaka Zulu (mmoja wa wagane hao) naye alimzungumzia Justin Bieber na baada ya kutaja jina tu nilishtuka sana, nilitaka nione akina Diamond watasemaje?”

 KUMBUKUMBU ZA LULU
Mwaka 2011 baadhi ya magazeti pendwa ya Bongo sanjari na mitandao ya kijamii yaliripoti jinsi Lulu alivyopagawa na mwanamuziki huyo kiasi cha kushindwa kuvumilia na kujianika kwenye ukurasa wake wa Twitter.

 Lulu alikwenda mbele zaidi kwa kudai kuwa, kwa jinsi anavyompenda staa huyo alikuwa tayari kumpa chochote kile (hakufafanua). Alikuwa ‘akitwiti’ kwa Kiswahili wakati mwingine akitumia ‘yai’ (Kingereza).
Katika maelezo yake Lulu alikaririwa akisema kuwa endapo staa huyo atatua Bongo, atatembea utupu kutoka nyumbani hadi sehemu ambayo Bieber atakuwa anapafomu.

 Bieber mwenyewe anadaiwa kuwa na mashabiki zaidi ya 47,180,630 wanaomfuatilia kwenye Twitter hivyo huenda ilikuwa vigumu kumsoma Lulu.
 KAMA VILE HAITOSHI
Hivi karibuni ambapo hata mwezi mmoja haujapita wakati Diamond akiwa nchini Marekani kwenye Tuzo za BET, Lulu alimtupia kwenye Instagram maneno haya: “Hongera kwa levo uliyofikia. Huko ulinionea Justin Bieber wangu?”

NADRA SANA, KWA LULU VIPI?
Ni nadra katika jamii ya Kiafrika mwanamke kuanika hisia za mapenzi yake kwa mwanaume asiyekuwa na habari naye huku jamii ikijua au kutambua hilo lakini Lulu amethubutu. Je, inakuwaje hapo?

UMEONA HII NI FASHION YA NGUO IMECHORWA KWENYE MWILI






Sarah Baboro and David Lesage, students of Public relations from a school in Belgium, were asked to make a video for their final examination which would create a lot of publicity and views. So in order to achieve desired grades in the examination duo recruited a French makeup artist who is also a friend of Sarah, named Marie P and their mutual model friend for the concept. The concept of the duo was to make a model walk on the local street of France with just a G String on her lower body and with a illusion of faded blue jeans with the help of body paint.

DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN

DIAMOND PLATNUMZ AHUDHURIA RED CARPET YA UZINDUZI WA FILAMU YA THINK LIKE A MAN


Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MENjana.
Msanii Diamond Platnumz pamoja na wageni alioambatana nao akiwemo Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa
Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wakati wakiwasili katika uzinduzi huo.
Terrence akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ambayo naye ameshiriki kuanza.
Diamond akisalimiana na baadhi ya mashabiki baada ya uzinduzi.
Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E, Terrence J yupo nchini Tanzania, ambapo pamoja na mambo mengine, jana 'alihost' uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN ambayo na yeye ni mmoja wa nyota walioigiza humo.

STAA AUNT EZEKIELAKANUSHA MADAI KUWA NA MKOSI NA WANAUME




Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.

Baada ya maneno hayo kutufikia, wanahabari wetu walimsaka Aunt ili kumsikia anazungumziaje taarifa hizo ambapo alitiririka:
 
“Sina gundu na wanaume jamani, uzuri ni kwamba kila niliyeishi naye kulikuwa na sababu za msingi za kuachana. Siyo Jack Pemba wala Hartmann (Mbilinyi).
 
“Watu wanazungumza tu bila kujua ukweli, hata kwa Sunday Demonte (mumewe wa sasa), yupo vizuri na hajafungwa kama wanavyosema,” alisema Aunt. 
 
Miongoni mwa wanaume walioogelea katika penzi la Aunt kisha kumwagana kwa sababu tofuati ni pamoja na Mwilu Mwilola ‘Silvanus’, Hartman na Jack Pemba.

>>Ijumaa  Wikienda/gpl

KAMANDA K PIA HAYA YAFUMBULIE MACHO






JE KWA NYIE WANAUME,, UPO TAYARI KUTEMBEA BARABARANI NA MSICHANA ALIYEE HIVI???

PICHA ZA MASTAA WA BONGO WAKIWA NDANI YA IJABU


HUYU NDIYE MSUPA TZ NZIMA



 


BEAUTIFUL ONYINYE FROM KENYA

AMONG OF THE AFRICAN BEATIES FROM KENYAA
Blogger Widgets